Matangazo
WANAUME UGANDA WAWATAMANI WAREMBO WA AFGHANISTAN
Waziri wa Jinsia, nchini Uganda Betty Amongi
Waziri wa Jinsia, nchini Uganda Betty Amongi, amesema wanaume nchini humo wamekuwa wakiombea wakimbizi kutoka nchini Afghanistan wawasili salama na kwamba wamekuwa wakisambaza picha za wanawake hao warembo na kusema anatumaini hawatotoka chama cha wanaume bahili.
Waziri Amongi ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter hapo jana, na kusema kwamba wanaume hao pia wameahidi ushirikiano mzuri kwa serikali juu ya ujio wa wakimbizi wa Afghan.
"I have seen our Ugandan men praying for safe landing of Afghanistan refugees, and sharing various photos of ladies as below, they are promising total support and cooperation with government this time on this project! hope it'snot Stingy men Association," ameandika Waziri Amongi