FMG Swahili Habari Siasa Michezo Udaku Mapenzi Biashara
Matangazo

Inter Milan watwaa Ubingwa Ligi ya Italia

 

Inter Milan watwaa Ubingwa Ligi ya Italia

Klabu ya Inter Milan imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu nchini Italia 'Serie A' baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya mahasimu wao kutoka jiji la Milan AC Milan.


Inter imefikisha alama 86 ikiwa ni tofauti ya alama 17 dhidi ya AC Milan wanaoshika nafasi ya pili na imesalia michezo 5 kabla msimu kumalizika.


Ni kwa mara ya kwanza kwenye History ya 'Serie A' Bingwa wa ligi hiyo amepatikana baada ya kushinda mchezo wa dabi ya jiji la Milan inayofahamika kam 'Dabi Della Madonnina'.


Huu unakua ubingwa wa 20 wa 'Serie A' kwa klabu hiyo ya Inter Milan.

Powered by Blogger.