FMG Swahili Habari Siasa Michezo Udaku Mapenzi Biashara
Matangazo

Kocha Benchikha "Nashuka CV Yangu Kila Kukicha"


Kocha Benchikha
Kocha Benchikha


Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa kama hii simba timu inacheza tofauti kabisa na matakwa yangu.....

Nitaongea tena na viongozi wangu kama nitakubaliwa kuunda timu yangu upya msimu ujao ili niandae list yangu ya wachezaji nitakaoweza kuunda timu bora Africa...

ila kama watashindwa kukubaliana na mimi basi watambue kuwa CV yangu sijaitengeza na pesa nashuka CV yangu kila kukicha naweza kufanya maamuzi sahihi ๐Ÿ™”

๐Ÿ—ฃ BENCHIKHA
Powered by Blogger.