FMG Swahili Habari Siasa Michezo Udaku Mapenzi Biashara
Matangazo

Simba Yatwaa Kombe la Muungano, Hawa Hapa Wachezaji Bora Kombe Hilo



Hatimaye Mnyama kalibeba kombe la Muungano Baada ya kuwatungua kimoko Wana Lambalamba 

FT: Simba SC 1-0 Azam FC


TUZO kombe la MUUNGANO

Fabrice Ngoma - Mchezaji Bora
Abdul Sopu - Mfungaji Bora
Ayoub - kipa Bora
Powered by Blogger.