FMG Swahili Habari Siasa Michezo Udaku Mapenzi Biashara
Matangazo

Taarifa Kuhusu Mechi ya Yanga na JKT Tanzania Kucheza Leo


Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara TPLB imethibitisha kuwa mchezo namba 135 kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga utachezwa leo Jumatano Aprili 24,2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Jenerali Isamhuyo Jijini Dar es salaam.

Hapo awali mchezo huo ulitakiwa kuchezwa Aprili 23, 2024 lakini uliahirishwa kutokana na Uwanja wa Isamhuyo kujaa maji kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jambo ambalo lilikwamisha mchezo huo kuchezwa.

Wale ambao walikata tiketi , watazitumia leo bila tatizo
Powered by Blogger.